I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Elon Musk ametoa ushauri kwa tajiri mwezake Jeff Bezos afanye kazi kwa bidii kama anataka kutengeneza pesa katika biashara ya vyombo vya angani.
“Bezos anatakiwa kupoteza muda zaidi katika kampuni yake ya Space ya Blue Origin na kutumia muda kidogo kushinda katika bafu la maji ya moto. Bezos ana uwezo katika uhandisi lakini akili yake na mwili hauko tayari kufanya uhandisi” maneno ya Elon Musk katika interview yake na Financial Times.
Elon Musk ni muanzilishi wa Space X lakini pia ndio mhandisi mkuu katika kampuni.