wanayo kweli mzeeWatu wana mawe
Anata kumiliki nguvu ya ushawishi Duniani & marsini kupitia TwitterWhy does Elom Musk want to buy TWITTER? Does he want to monetize it?
Watu wana mawe
mpaka dakika hii keshakunja 38% ya pesa yote aliyonunulia hisa za twitterElon Musk huwa anaona mbali sana, hiyo hela atakayolipa inaonekana ndefu lakini yeye kisha ipigia mahesabu na kuona kuwa itarudi upesi sana mara atakapoimiliki hiyo TWITTER!!!
Duh bila shaka kwa tamko lake hili thamani ya hisa itapanda.mpaka dakika hii keshakunja 38% ya pesa yote aliyonunulia hisa za twitter
Ameshashtakiwa tayari na baadhi ya wenye Hisa wa twitter.Duh bila shaka kwa tamko lake hili thamani ya hisa itapanda.
Niliona anachunguzwa yeye na ndugu yake kwa kumanipulate hisa za tesla kisha kuuza wanasema matamshi yake aliyotoa kabla ya kuuza hisa huenda ni makosa.
Jamaa Mzee wa fursa sana anajua kucheza na sokoAmeshashtakiwa tayari na baadhi ya wenye Hisa wa twitter.
Amenunua Hisa kisiri siri then hajasema na hapo anatia watu sound ili hisa zipande, hisa zikipanda ujue yeye ndio ananufaika kwa hisa za Awali.
Atawalipa SEC fine kidogo na ataendelea na manipulation zake huyu tajiri wa mchongoAmeshashtakiwa tayari na baadhi ya wenye Hisa wa twitter.
Amenunua Hisa kisiri siri then hajasema na hapo anatia watu sound ili hisa zipande, hisa zikipanda ujue yeye ndio ananufaika kwa hisa za Awali.
Free speech.Why does Elom Musk want to buy TWITTER? Does he want to monetize it?
Unajua mimi uwa napenda sana tazama channel za youtube za mbele huko na kusoma comments uwa napenda sana comments. Sasa niliona wazungu wanamsema kuwa jamaa mtu wa manipulation sana si ndo nikajua kuwa hata tesla hakuoanzisha yeye kama watu wanavyoamini.Atawalipa SEC fine kidogo na ataendelea na manipulation zake huyu tajiri wa mchongo
What type of censorship do you experience when you use TWITTER? Is it the absence of the "EDIT" button?Free speech.
That's what they say.What type of censorship do you experience when you use TWITTER? Is it the absence of the "EDIT" button?
Hili swali akiulizwa Donald Trump au yule mtoto wa Museveni au Rais wa Nigeria - Buhari watakujibu vizuri.What type of censorship do you experience when you use TWITTER? Is it the absence of the "EDIT" button?