wilsonwizzo3
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 625
- 2,704
dah nimecheka sana,,Je ccm itakubali ? maana wao huwa wanataka fungu la 10
Bila kumsahau ROSTAMSwali je nape na timu yake Voda Airtel tigo halotel Simba net watakubali hii kitu jibu ni hapana.
Hata Malawi , kifurushi cha 35, 000 bongo , Nkata bay ni elfu 8 za kibongoSijui watu wengine hawajaielewa vizuri Tanzania jinsi ilivyo au ni kusahau tu!
DSTV ya Afrika Kusini bei chini kuliko ya Tanzania, hivyo hivyo Azam ya Burundi ipo Chini kuliko ya Tanzania.
Tena msije kushangaa hiyo Starlink ikanyimwa kibali kama itakataa kufuata masharti ya Nape na wadau wake
Nachokushauri acha kutumia hata internet, ni freemason, katafute kitochi.Endeleeni kushabikia tu wakati Freemason wanawaingiza mkenge.
Ni sisi wananchi ndio tutapata maumivu, hawo mawaziri wana unlimited internet isiyo na kikomo ofisini, kwenye simu na kwenye nyumba zao.Hawawezi kushindana na wakati. Wakithubutu wataishia kupata maumivu.
Nadhani kuna masafa (frequency) ambazo watatakiwa kupewa ili kuweza ku access eneo hilo, ila kwa wale wa mipakani nadhani ni possible ku access huduma hiyo kutoka nchi wanazopakana!Unajua solution ni rahis tu ili usipoteze mapato wakubaliwe tu wakifanya tofaut na hivyo wataikosesha serikali mapato unajua watu watakua wanaenda nje kama Kenya wananunua vifaa hivyo anakuja kufunga kwake alaf analipia kila mwezi hapo serikali itakua inakosa mapato kizembe sanaa kisa kukunja
Tuna safari ndefu,Endeleeni kushabikia tu wakati Freemason wanawaingiza mkenge.
Cellular broadband na Radio FM/AM/SW ndiyo unapewa masafa, maana inatumia minaraNadhani kuna masafa (frequency) ambazo watatakiwa kupewa ili kuweza ku access eneo hilo, ila kwa wale wa mipakani nadhani ni possible ku access huduma hiyo kutoka nchi wanazopakana!
haipo hivyo, wanachoomba ni kibali tu wafanye biashara hapa kwetu, kuwe na sehemu ya kununua vifaa, mafundi, mifumo ya kulipa vifurushi, n.k.Nadhani kuna masafa (frequency) ambazo watatakiwa kupewa ili kuweza ku access eneo hilo, ila kwa wale wa mipakani nadhani ni possible ku access huduma hiyo kutoka nchi wanazopakana!
Wamejaa ubinafsi na roho mbayaSerikali yetu ni washamba sana
Ok, sijui ndugu zetu wa TTCL na Mkonga wao wa Internet wamejipangaje, nakiona kifo chao.haipo hivyo, wanachoomba ni kibali tu wafanye biashara hapa kwetu, kuwe na sehemu ya kununua vifaa, mafundi, mifumo ya kulipa vifurushi, n.k.
Kama mtu akiweza kuvipata vifaa kutoka nchi zilizoruhusu akaja kuweka hapa kwetu anatumia vizuri tu, ila inabidi atumie kiwizi wizi maana akidakwa msala huo.
Hii internet ni ya Sattelite sio minara,
Ni sawa na vingamuzi vya canal + vya Rwanda navyo vinatumia satelite kama ilivyo kwa dstv, azam, n.k, havina kibali hapa kwetu ila kuna watu wanavitumia, vifurushi vikiisha wanatuma miamala kwa mawakala wa huko Rwanda.
Mawazo mgando . Kwani habar za freemason ndio unasikia Leo? Mambo mangapi mpaka hii Leo yamehusishwa na freemason na bado hatukuweza kukwepa?? Tafakar upya mkuu .kwani teknolojia ngapi mpaka Leo umezipokea?Endeleeni kushabikia tu wakati Freemason wanawaingiza mkenge.
Shauri zenu endeleeni kushabikia tu Freemason. Mkishatoa kafara wapendwa wenu halafu ifike zamu yako wakunyofoe viungo utabaki kulialia laiti ningejuwa but too late.Mawazo mgando . Kwani habar za freemason ndio unasikia Leo? Mambo mangapi mpaka hii Leo yamehusishwa na freemason na bado hatukuweza kukwepa?? Tafakar upya mkuu .kwani teknolojia ngapi mpaka Leo umezipokea?