Elon Musk net worth 300B $ Idadi ya watu duniani 7.6B

Mfano jamaa akitoa msaada kwa kila mtu wealth ya 1B $ bado atakuwa tajiri namba moja duniani na wewe hali uliyonayo utabaki nayo hivyo hivyo kwa kuwa tutakuwa tume add 1 kwa kila mtu [emoji23][emoji23].

View attachment 2019112
Watu wakati wanajifunza hesabu wewe ulikua unamchora mwalimu hayo ndo matokeo yake
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Bongo walimu wengii, usiombe ukosee, utapewa za uso halafu hakuna hata aliyejaribu kurekebisha au kuonesha ilitakiwa hesabu iweje. Nchi ngumu sana hii....

Kwa hiyo ilitakiwa iwe hivi

300$ B / 7.6 B au sio? Enhee!?
 
Unapata kama Dola 39.47!Kama 90,000/ na ushee!Huo ushee ukimrudishia mwenyewe anakuwa na Trillion 6 TSH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…