2 of Amerikaz most wanted JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 1,328 Reaction score 3,718 Apr 22, 2023 #1 Billionaire Elon Musk mmiliki wa Twitter deals kibao, kawaondolea Blue tick(Verification bagdes) Baadhi ya wasanii kwenye mtandao wa Twitter akiwemo Wiz kid, Burnaboy, na Davido kwa madai ya kwamba wa natakiwa kuzilipia. Je unaungana na Elon Musk or nah?
Billionaire Elon Musk mmiliki wa Twitter deals kibao, kawaondolea Blue tick(Verification bagdes) Baadhi ya wasanii kwenye mtandao wa Twitter akiwemo Wiz kid, Burnaboy, na Davido kwa madai ya kwamba wa natakiwa kuzilipia. Je unaungana na Elon Musk or nah?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Apr 22, 2023 #2 Musk kaamua kuifanya Twitter kama toy yake ya kuichezea, hiyo ndio raha ya kuwa na pesa nyingi hadi usijue jinsi ya kuzitumia.
Musk kaamua kuifanya Twitter kama toy yake ya kuichezea, hiyo ndio raha ya kuwa na pesa nyingi hadi usijue jinsi ya kuzitumia.
2 of Amerikaz most wanted JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 1,328 Reaction score 3,718 Apr 22, 2023 Thread starter #3 Yoda said: Musk kaamua kuifanya Twitter kama toy yake ya kuichezea, hiyo ndio raha ya kuwa na pesa nyingi hadi usijue jinsi ya kuzitumia. Click to expand... 😁 Kwamba pesa inamusha🙌
Yoda said: Musk kaamua kuifanya Twitter kama toy yake ya kuichezea, hiyo ndio raha ya kuwa na pesa nyingi hadi usijue jinsi ya kuzitumia. Click to expand... 😁 Kwamba pesa inamusha🙌