Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Jomba ana majumbaa, na makampuni makubwa.Usiwaamini sana waliofanikiwa.
Na wewe kenge ukaona utolee mfano walimu waliokupunguza ujingaUtashangaa yupo Mtanzania ni mwalimu au winga ana familia ya watoto watatu hapo alipo mkewe ana ujauzito huku wanaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule lakini anakaza shingo kusema huyu jamaa ndiyo role model wake so kwanini ajenge duniani anakopita.
Wenyewe wanakwambia kujenga ni uoga wa maisha mbona Elon Musk hana nyumba na anaishi.