Kinyayo
Member
- Aug 17, 2016
- 82
- 46
wana JF hongereni kwa kusimamia ndoto zenu!
Dg zangu.
Wachambuzi wa matajiri wa marekani, wamemtabiri bilionea ELON MUSK aka GAME CHANGER mmiliki wa Tesla,space X Star link na n.K, atakuwa ndiye tajiri wa kwanza kwa bara hilo lenye idadi kubwa ya mabilionea wenye ukwasi wa kutisha ulimwengu kumiliki dola hadi kufikia TRILIONEA kwa kipindi kifupi kijacho ikiwa utajiri wake utaendelea kukua kwa kasi kma ilivyo kwa sasa.
Jambo ambalo halijawahi kutokea mtu yoyote kumiliki kiasi hicho cha pesa Tangu uhuru wa MAREKANI 1776