Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 335
Mambo ya kawaida tu hayo. Hongereni sana Bwana na Bi John for a bounce baby Boy, Mungu awakuzie katika madili.
<br />Mambo ya kawaida tu hayo. Hongereni sana Bwana na Bi John for a bounce baby Boy, Mungu awakuzie katika madili.
<br />
<br />
maadili gani hayo ya ushoga? Mungu anayehukumu kwa haki atatoa hukumu inayowastahili. Its immoral ku-support vitendo vya kishoga hata kama ndiyo tabia yako ndugu yangu!
Na mtoto naye atafuata nyao kama kawa. Tunahitaji gharika nyingine ije isafishe tena!
Na mtoto naye atafuata nyao kama kawa. Tunahitaji gharika nyingine ije isafishe tena!