Elumu na ushauri wa afya kutoka afya zaidi (AZ) consultants

Elumu na ushauri wa afya kutoka afya zaidi (AZ) consultants

EveningStar

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
262
Reaction score
162
Afya zaidi (AZ) consultants ni mradi unaojihusisha na kutoa elimu na ushauri wa afya ( magonjwa, dawa, vyakula, urembo na vipodozi) kwa jamii zote za Tanzania na sehemu zingine nje ya Tanzania kwa lengo la kulinda na kusaidia afya ya jamii.

Kama unauhitaji tutumie SMS kwa 0758 106 501, elezea shida yako kisha tutakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom