Afya zaidi (AZ) consultants ni mradi unaojihusisha na kutoa elimu na ushauri wa afya ( magonjwa, dawa, vyakula, urembo na vipodozi) kwa jamii zote za Tanzania na sehemu zingine nje ya Tanzania kwa lengo la kulinda na kusaidia afya ya jamii.
Kama unauhitaji tutumie SMS kwa 0758 106 501, elezea shida yako kisha tutakusaidia.