Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa "Tanzania Chamber of Commerce, Industry & Agriculture" (TCCIA) Bwana ELVIS A. MUSIBA amefariki dunia alfajiri ya leo.
Habari za mipango ya mazishi zitafuata mara tu baada ya kupatikana.
Kwa watu walioko London, mnakaribishwa kwa binti yake, Lisa Musiba, anwani ni:
6 MANTON Rd
ENFIELD
MIDDLESEX
LONDON,
EN3 6XZ
Mobile: 07949737185
Pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wale wote mliofikwa na msiba huu.
yah alikuwa mgonjwa na ndani ya wiki mbili tatu zilizopita alikuwa serious sick
RIP E Musiba, utakumbukwa kwa uzalendo wako na kwa wale wapenzi wa riwaya wa zamani watakukumbuka sana katikavitabu vyako
1 KIKOSI CHA KISASI (KK)
2 KUFA NA KUPONA
3 HOFU
4 KIKOMO
5 HUJUMA