Jamani....hata siamini wapendwa ah kweli kazi ya MUNGU haina makosa......nilikuwaga nampicture kama ndie Willy Gamba wa kweli kwelii masikini. Poleni wafiwa
What a sad news !!!! Kwa kweli huu ni msiba mkubwa sana kwa taifa, hawa kwa wasoma novels za kiswahili (Will Gamba). Katika kipindi hichi ambacho uandishi wa riwaya za kiswahili unazidi kuwa bidhaa adimu, na nchi inaongozwa na viongozi ambao hawawezi hata kuandika biography zao, achilia mbali kusoma vitabu vya wenzao, kwa kweli ni hasara kubwa sana. Pole sana kwa familia ya marehemu. M/Mungu amuweke mahali pema peponi.
nikiwa std one 1982 kaka yangu aliyekuwa darasa la nne wakati ule alikuwa kamaliza vitabu vyote vyote hivyo vya elvis musiba. na mie nilivisoma vyote na kuvimaliza mpaka mwaka 1989. imeniuma sana lkn ni kazi ya mola haina makosa. RIP E. MUSIBA.