elimukwanza
Senior Member
- Dec 27, 2010
- 169
- 23
Wana IT naomba mnisaidie nifanyeje email yangu imeingiliwa na watu na wanatuma email kuwa nimepata ajali wanitumie fedha kwenye e-mail zilizo kwenye inbox yangu.na siwezi ku access tena maana na password wamebadili nifanyeje?email ni yahoo.