Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
hata ka video mwanawemni wakat mtu kavunja record? tenda haki please. Hongera EmmaMwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania, Emanuel Giniki Gisamoda Ameshinda Mbio za "Warsaw Peace Half Marathon 2022" kilomita 21 Nchini Poland, Kwa Kutumia Muda wa Saa Moja na sekunde thelathini (1:00:30) iliyodumu Miaka 8 Kwa sekunde kumi na Tisa.
Tukumbuke Emanuel Giniki, Mwaka huu alishinda Tena Kilimanjaro Marathon (Tigo Half Marathon) Kwa Kutumia Muda wake mzuri (Personal Best) wa saa Moja na sekunde thelathini na nne (1:00:34)
Nafasi ya Pili ikishikwa na Mganda Abel Chebet ( 1:00:40) nafasi ya Tatu ikichukuliwa na Mkenya Josphat Kipchirchiri (1:01:46).
Hongera Sana Kwa Emanuel Giniki Gisamoda.
Alikimbia umbali wa km ngapi hadi kushinda hiyo tuzo?17 May 2022
GINIKI AITIA LAWAMA TANZANIA/ ANAJINUNULIA CHAKULA/ AZISHINDA KENYA, ETHIOPIA/ "INASIKITISHA SANA"
Aliyekua Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania Wilhem Gidabuday ametoa sababu za kusikitishwa na mapokeo dhaifu ya ushindi wa Mwanariadha Emanuel Giniki Gisamoda ambaye mwishoni mwa juma lililopita aliibuka kidedea katika michuano ya GENEVA MARATHON huko nchini Uswiz.
Kilomita 42, (42K ) Marathon siku Zote ni kilomita 42, na Half Marathon ni kilomita 21.Alikimbia umbali wa km ngapi hadi kushinda hiyo tuzo?