Emanuel Nkulila's song: Pain in Me

Dah, wee jamaa leo ntamshukuru Mungu kipekee kwa ajili yako. Nimeutafuta sana huu wimbo wa Miss Tanzania. Thank you brother. Mungu akupe wepesi, akupe haja ya moyo wako. Amen
Amen mkuu!!
 
huyu mwamba kapotea kwenye ramani kabisa. Soko la entertainment la bongo bila uchawi/hirizi hutoboi. ukija na kiingereza toka ughaibuni ndo kabisaa
 
huyu mwamba kapotea kwenye ramani kabisa. Soko la entertainment la bongo bila uchawi/hirizi hutoboi. ukija na kiingereza toka ughaibuni ndo kabisaa
Yupo zake Los Angeles anafanya mishe mingine nje ya Music,
Ukiwa unaingiza pesa zako kila baada ya masaa bongo unarudi kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…