Hii inawahusu wale waliokuwa washabiki wa Mnyama ambao walihamia Tu-mbili Sports Club aka Utopolo, na sababu kuu waliotoa NI kuwa wanafuata furaha kwenye Timu isiyofungwa. Wengine walitukejeli adi Kwa nyimbo eti' Yanga tamu!' na pia eti wakaenda mbali Kwa kusema eti ' maisha yamchanganye na huku Timu nayo imchanganye!' Sasa kiko wapi?? Mnaona aibu!!
Kumbe hamkujua kuwa furaha uko Yanga mliyoifuata Yanga hakuna furaha ya kudumu! NI furaha ya muda tu Kama ilivyo Kwa EMBE kuwa NI tunda la MSIMU tu!
Simba Nguvu moja! Hatuigi Bali Tunaigwa!
Tu-mbili Nyuma mwiko.