Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
- Thread starter
-
- #41
Sehemu za upareni
Kuna embe Jingine la wana Darisalamu eti halina sijui utamu au ndo chachandu maana inabidi uweke CHUMVI kuongeza utamu, Uvinza uvinza jamani kama machimbo ya Chumvi yakifungwa embe hili halitaliwa? Wasifu wake humenywa likiwa halijaiva kidogo na kutiwa Chumvi kisha kuliwa....
Kama ni embe kweli mnazozungumzia hapo. Hapa Kwetu kuna embe zinaitwaa "MANDUNGULI", hiyo ikigusa tu ulimi wako wallah, hufungii mdomo hadii uimalize. karibuni tule Mandunguli jamani.
Nimegundua sipendi embez! Nyama ya bata ni kiboko, embe zina mdudu
:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:iliyo na mdudu ni ile iliyoiva sana......................tafuta mbichi tamu mchungaji
iliyo na mdudu ni ile iliyoiva sana......................tafuta mbichi tamu mchungaji
Kama ni embe kweli mnazozungumzia hapo. Hapa Kwetu kuna embe zinaitwaa "MANDUNGULI", hiyo ikigusa tu ulimi wako wallah, hufungii mdomo hadii uimalize. karibuni tule Mandunguli jamani.
Nimegundua sipendi embez! Nyama ya bata ni kiboko, embe zina mdudu
Vijana naona mmeamua kutumia lugha ya kawaida lakin mi siwaelewi mara embe bukoba kisha katerero!wakati bukoba hawalimi dodo! Haya bwn naondoka mnaoelewana kaa jamvini mi naenda pale kwa mzee Kalumanzila nkanywe kahawa na wazee wenzangu. Mwambie bibi yenu nyama ipikwe vizuri mie sina meno tena wajukuu. Baadae.
Kweli utamu wa embe ni kumenywa, hii wahenga walisema!
kula embe nyonyo mkuu halihitaji meno.....usile katu lile la mjini maana lina chumvi added
Mbichi zina ukakasi!