Embracing Cultural Differences, Secret to Success

Embracing Cultural Differences, Secret to Success

Dar_Millionaire

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2008
Posts
227
Reaction score
86
n3rxux.jpg



Karibuni kwenye workshop hii itakayoendeshwa na mtaalam Professor Joseph Mbele,
Mahali: Mlimani City, Dar es Salaam.
Tarehe: 05-September-2009
Muda: Saa nne asubuhi mpaka kumi jioni
Kiingilio: Tshs. 50,000/- tu
------------
More Details Visit the Following Site:
www*CultureAndGlobalization*info

[replace * with dot . ]
 
hongera kwa ujasiriamali,maisha shule hutufundisha jinsi ya kupata fweza za kupata maji ya dhahabu tyeh teh
 
hakuna tatizo kabisa na maji ya dhahabu. ni product mojawapo iliyoko kwenye soko hivyo shurti itumiwe.

huwa najitahidi kutengeneza offers ambazo zinalenga makundi mbali mbali. nilikuwa na idea moja ya kuorganize workshop ambapo maji ya dhahabu ruksa kunywewa wakati semina inaendelea.

Nimegundua watu huwa wanatema point nzito, na wanafikiri kwa ufanisi zaidi na ideas huwa zinaflow fasta baada ya kupata maji ya dhahabu. Hivyo workshop ikiwa na maji ya dhahabu, badala ya maji ya uhai inaweza kuchangamka zaidi.

Bila shaka utapenda kuhudhuria workshop ya aina hiyo, au sio?
 
Back
Top Bottom