hakuna tatizo kabisa na maji ya dhahabu. ni product mojawapo iliyoko kwenye soko hivyo shurti itumiwe.
huwa najitahidi kutengeneza offers ambazo zinalenga makundi mbali mbali. nilikuwa na idea moja ya kuorganize workshop ambapo maji ya dhahabu ruksa kunywewa wakati semina inaendelea.
Nimegundua watu huwa wanatema point nzito, na wanafikiri kwa ufanisi zaidi na ideas huwa zinaflow fasta baada ya kupata maji ya dhahabu. Hivyo workshop ikiwa na maji ya dhahabu, badala ya maji ya uhai inaweza kuchangamka zaidi.
Bila shaka utapenda kuhudhuria workshop ya aina hiyo, au sio?