luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hapa zambia mimi naingia bila passportZambia ni sehemu sahihi ya kufanya biashara Watanzania wengi wapo miji mikubwa wewe nenda upande wa solwezi karibu na Angola kule kuna machimbo na mzunguko wa pesa upo ila akikisha passport ipo sawa maana uhamiaji wa Zambia kwenye hilo wapo makini mno kuliko vitu vingine...sehemu hizo unaenda na nauli na hela ya kukaa siku chache tuu ukiona fursa unaagiza watu waliokuepo daslm wananunua bidha unatumiwa wao Kodi sio kizungumkuti kama Puerto Rico...
NipoWadau naomba m-share experience yenu ambao mm bahatika kufika na kuishi katika nchi hizi mbili Rwanda / Zambia
Napenda kufahamu mfumo wao wa maisha, mazingira ya kufanya biashara, social interaction na wageni ipoje.
Karibuni wapendwa.
Shukrani mkuu
Huko ni umaskini tu, wadada/wamama wao wamejaa bongo wakitumika kama wafanyakazi za ndani..Anaejua kuhusu Malawi [emoji1156] Pia
Tulia Tanzania
Huko Utahangaika Bure
Huko ni umaskini tu, wadada/wamama wao wamejaa bongo wakitumika kama wafanyakazi za ndani..
Unafika Lusaka au wapi Mkuu navyojua Zambia ni Nchi zinazosumbua saana wageni kuhusu passport kuna mwaka tuliwahi mwacha konda wa falcon alikua hajui kaweka wapi mkwaju wake na alitoka baada ya wiki kadhaa mpaka mahakamani hapo Isoka nadhani..H
Hapa zambia mimi naingia bila passport
Huo mfano haupo hai...Sisi pia tupo Oman [emoji1190] kwa kazi za ndani vip ni umasikini tu?
Ukipata connection suka uzi utupie JF watu wajitoseSisi pia tupo Oman [emoji1190] kwa kazi za ndani vip ni umasikini tu?
Tanzania ya sasa ni ya hovyoTulia Tanzania
Huko Utahangaika Bure