Embu mnijuze mliowahi kufika na kuishi Rwanda, Zambia

Wadau naomba m-share experience yenu ambao mm bahatika kufika na kuishi katika nchi hizi mbili Rwanda / Zambia

Napenda kufahamu mfumo wao wa maisha, mazingira ya kufanya biashara, social interaction na wageni ipoje.

Karibuni wapendwa.

Kama hauna IQ kubwa usiende Rwanda.
 
Nizungumzie Rwanda, maisha kule ni ghali, mfumo wa ufanyaji biashara ni mgumu maana umekuwa centralized yaani kuanzisha kabiashara kadogo tu hadi makao makuu ya nchi wajue, ni mountainous country, ina wanawake warembo, pia wapo juu kwa usafi.
Warembo sana ila Mbukunyu zao zina maji sana
 
Wadau naomba m-share experience yenu ambao mm bahatika kufika na kuishi katika nchi hizi mbili Rwanda / Zambia

Napenda kufahamu mfumo wao wa maisha, mazingira ya kufanya biashara, social interaction na wageni ipoje.

Karibuni wapendwa.
Dah, Rwanda warembo ndio wananikosha tuuu!
 
Nimeishi Rwanda mwaka kama na miezi mitatu nilikuwa nafanya shughuli shirika la Kimataifa, maisha ya kule sio aisee ni kufuatiliana kwa sana. Kina kipindi mimi walikuwa wana track sana wakihisi ni jasusi. Hakuna uhuru wa maoni kule kama Tanzania. Hakuna mitandao huru kama Tanzania.
Kuhusu raia hawana furaha kabisa ni wachache sana wenye maisha mazuri. Kuhusu pisi kali wapo vizuri, pia mademu wa huko si rahisi sana kuwa na mahusiano na wageni. Single mother ni wengi sana kule hao ndiyo unaweza ukawa na mahusiano nao. Hawaombi sana pesa kule kama huku bongo.
 
Sana kwa electronic devices.
 
Huko ni umaskini tu, wadada/wamama wao wamejaa bongo wakitumika kama wafanyakazi za ndani..
Tena Kyela wamejaa wanawake wa Malawi wengi kweli, kazi zao ni u house girl, bar maid, na kujiuza. Ni wengi mno niliwakuta mpaka ndani ndani huko vijijini.
 
Rwanda biashara Ni ngum na mbususu pia kule 50 kwa 50 ndo mahala pake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…