Uchaguzi 2020 Embu mtujibu kwa mfano wewe ndio Mbowe kwenye kampeni utasimama uwaambie nini watu? Ili wakuchague Tena

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2020
Posts
1,257
Reaction score
1,543
Eti makamanda mfano wewe ndio MBOWE au Zitto au viongozi wengine wote wa upinzani kwenye kampeni mtawaambia Nini wananchi ili wawachague Tena?

Maana sera zote muhimu Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serikali ime muua Akwelina

Au serikali imempiga risasi Tundu Lisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vipi mtaweza kuikosoa serikali wakati mwenyekiti wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serikali iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananchi Serikali haikufunga Lock down? Nawashauri msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
 
Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Wataomba samahani kwa kuruhusu Bil 8 ziliwe na mtu mmoja.
 
Kwanza kabisa ni kuomba msamaha. Jinsi tulivyoumgeuka Dk Slaa na kuvuta mpunga.Pili ni kuomba msamaha kwa matumizi mabaya ya ruzuku na ukwapuaji wa bil 8. Alafu tunaomba mtuchague.
 
Mpinzani hakosi hoja hata ukicheza kwenye maji yeye atasema unatimua vumbi hawezi kukaa kimya ndo destuli ya mpinzani ni kupinga chochote bila kujar wapi na nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenga madaraja, barabara za lami, fly over n.k

Lakini maisha ya wananchi yakiwa hovyo hakuna atakae kuelewa

Na upinzani siyo CHADEMA kama mnavyozani bali ni vijana walionyimwa ajira miaka takribani 5, bila kusahau waliobomolewa nyumba kwa masifa ya mfalme juha, waliokejeliwa kule Kagera

Endeleeni kujidanganya tu kuwa mnapendwa ilihali mnawaaminishi watu uwongo wenu na kutumia polisisiemu
 
Unajua mbowe toka ameingia kwenye wenyekit ni miaka mingap angepisha wenzake nawenyewe wakapata ajira ungekua sawa kwa unayo YASEMA kingine Sio watu Wana Hali ngum sema nyie mnao tegemea siasa ili mle Hali mgum itakua Sana upande wenu sababu upepo umevumia kwingine

Alafu kakwambia Nan kua Kuna kiongozi wa kisiasa anaweza kubadilisha maisha ya raia wa kawaida kwa siasa zake

Maisha ya mtanzania yanabadilishwa kwa miundo mbinu Sio kiongoz kukuletea hela
Jenga madaraja, barabara za lami, fly over n.k

Lakini maisha ya wananchi yakiwa hovyo hakuna atakae kuelewa

Na upinzani cyo CHADEMA kama mnavyozani bali ni vijana walionyimwa ajira miaka takribani 5, bila kusahau waliobomolewa nyumba kwa masifa ya mfalme juha,waliokejeliwa kule kagera

Endeleeni kujidanganya tu kuwa mnapendwa ilihali mnawaaminishi watu uwongo wenu na kutumia polisisiemu
 
Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Kama ni mimi Mbowe nitawaambia Wananchi kuwa Maisha yatakuwa bora kuliko yalivyo maisha ya sasa Nitawaongeza mishahara wafanyakazi na Wazee wenye umri wa miaka 70 na kuendelea mbele watapanda mabasi ya mwendo wa kasi bure pasipo na malipo. Nitajenga Viwanda vyingi ili wananchi wapate ajira Umeme nitaupeleka mpaka vijini kutakuwa tena hakuna kukatika umeme wala mgao wa umeme maji safi yatakwenda mpaka vijijini. huduma za Afya kwa hospitali za Serikali zitakuwa hakuna malipo ni bure. na kuondosha umasikini na njaa na kila Mtanzania ale japo kwa siku mara 3 na mambo mengine mengi tu siyawezi kutaja hapa.
 
IQ ya wapinzani ni ndogo mno, uwezo wao wa kufikiri ni dhaifu mbo, kwa ufupi hawana akili. Kibaya wamekariri upinzanu ni kupinga kila kitu, bila kutambua kuwa huwezi kukopi kila kitu toka kwa mzungu, leo hii Trump anapata shida kwa sababu ya siasa zake za chuki na wamarekani wanajuta kumchagua. Ifikie pahala upinzani uwe wa mazingira yetu kama tunavyoishi bila kujali dini au makabila.
 
Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?

Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi

Au mtawaambia serekal ime muua akwelina

Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru

Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi

Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Anual increment iko wapi?
1.5 Trillion ziko wapi??
Ajira ziko wapi kwa graduates?
 
Hahaahhh mtakua mmeamua kudanganya watu marekan tu wapo wanao kula mlo mmoja na nchi Yao Ina kila Aina ya miundo mbinu [emoji1787][emoji1787]
Kama ni mimi Mbowe nitawaambia Wananchi kuwa Maisha yatakuwa bora kuliko yalivyo maisha ya sasa Nitawaongeza mishahara wafanyakazi na Wazee wenye umri wa miaka 70 na kuendelea mbele watapanda mabasi ya mwendo wa kasi bure pasipo na malipo. Nitajenga Viwanda vyingi ili wananchi wapate ajira Umeme nitaupeleka mpaka vijini kutakuwa tena hakuna kukatika umeme wala mgao wa umeme maji safi yatakwenda mpaka vijijini. huduma za Afya kwa hospitali za Serikali zitakuwa hakuna malipo ni bure. na kuondosha umasikini na njaa na kila Mtanzania ale japo kwa siku mara 3 na mambo mengine mengi tu siyawezi kutaja hapa.
 
Jenga madaraja, barabara za lami, fly over n.k
Lakini maisha ya wananchi yakiwa hovyo hakuna atakae kuelewa
Na upinzani cyo CHADEMA kama mnavyozani bali ni vijana walionyimwa ajira miaka takribani 5, bila kusahau waliobomolewa nyumba kwa masifa ya mfalme juha,waliokejeliwa kule kagera
Endeleeni kujidanganya tu kuwa mnapendwa ilihali mnawaaminishi watu uwongo wenu na kutumia polisisiemu
Waambie mkuu, hao wanajiua upinzani ni Chadema.
 
Back
Top Bottom