mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Kupinga tu hata kama umepita kwenye interchange Ubungo ambayo itarahisisha usafiri?Kazi ya wapinza ni kupinga no matter what watapata tuu chakuongea
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataomba samahani kwa kuruhusu Bil 8 ziliwe na mtu mmoja.Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?
Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi
Au mtawaambia serekal ime muua akwelina
Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru
Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi
Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Jenga madaraja, barabara za lami, fly over n.k
Lakini maisha ya wananchi yakiwa hovyo hakuna atakae kuelewa
Na upinzani cyo CHADEMA kama mnavyozani bali ni vijana walionyimwa ajira miaka takribani 5, bila kusahau waliobomolewa nyumba kwa masifa ya mfalme juha,waliokejeliwa kule kagera
Endeleeni kujidanganya tu kuwa mnapendwa ilihali mnawaaminishi watu uwongo wenu na kutumia polisisiemu
Ila tambua pia raia sio wajinga. Wanaangaloa upingaji wako.Kazi ya wapinza ni kupinga no matter what watapata tuu chakuongea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni mimi Mbowe nitawaambia Wananchi kuwa Maisha yatakuwa bora kuliko yalivyo maisha ya sasa Nitawaongeza mishahara wafanyakazi na Wazee wenye umri wa miaka 70 na kuendelea mbele watapanda mabasi ya mwendo wa kasi bure pasipo na malipo. Nitajenga Viwanda vyingi ili wananchi wapate ajira Umeme nitaupeleka mpaka vijini kutakuwa tena hakuna kukatika umeme wala mgao wa umeme maji safi yatakwenda mpaka vijijini. huduma za Afya kwa hospitali za Serikali zitakuwa hakuna malipo ni bure. na kuondosha umasikini na njaa na kila Mtanzania ale japo kwa siku mara 3 na mambo mengine mengi tu siyawezi kutaja hapa.Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?
Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi
Au mtawaambia serekal ime muua akwelina
Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru
Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi
Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
IQ ya wapinzani ni ndogo mno, uwezo wao wa kufikiri ni dhaifu mbo, kwa ufupi hawana akili. Kibaya wamekariri upinzanu ni kupinga kila kitu, bila kutambua kuwa huwezi kukopi kila kitu toka kwa mzungu, leo hii Trump anapata shida kwa sababu ya siasa zake za chuki na wamarekani wanajuta kumchagua. Ifikie pahala upinzani uwe wa mazingira yetu kama tunavyoishi bila kujali dini au makabila.Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?
Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi
Au mtawaambia serekal ime muua akwelina
Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru
Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi
Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Kwanza intachenji mbaya ukipita inaleta kizungu zungu 😀😀Kupinga tu hata kama umepita kwenye interchange ubungo ambayo itarahisisha usafiri?
Umemsikiza Zembwela sasa hivi wewe. HahhaKwanza intachenji mbaya ukipita inaleta kizungu zungu [emoji3][emoji3]
Anual increment iko wapi?Et makamanda mfano wewe ndio MBOWE au zitto au viongozi wengine wote wa upinzan kwenye kampen mtawaambia Nini wananch ili wawachague Tena?
Mana sera zote muhim Rais Magufuli amesha zifanyia kazi
Au mtawaambia serekal ime muua akwelina
Au serekal imempiga risas tundulisu
Au mtawaambia mnataka tume huru
Na ni vip mtaweza kuikosoa serekal wakat mwenyekit wenu kufika tu Hai kaenda kupiga picha na kuonyesha watanzania kua serekal iliopo inafanya kazi
Au mtawaambia wananch Serekal haikufunga Lock down? Nawashaur msijaribu hata kuiongelea Corona mtakua mmewakumbusha watanzania ujinga wenu
Kama ni mimi Mbowe nitawaambia Wananchi kuwa Maisha yatakuwa bora kuliko yalivyo maisha ya sasa Nitawaongeza mishahara wafanyakazi na Wazee wenye umri wa miaka 70 na kuendelea mbele watapanda mabasi ya mwendo wa kasi bure pasipo na malipo. Nitajenga Viwanda vyingi ili wananchi wapate ajira Umeme nitaupeleka mpaka vijini kutakuwa tena hakuna kukatika umeme wala mgao wa umeme maji safi yatakwenda mpaka vijijini. huduma za Afya kwa hospitali za Serikali zitakuwa hakuna malipo ni bure. na kuondosha umasikini na njaa na kila Mtanzania ale japo kwa siku mara 3 na mambo mengine mengi tu siyawezi kutaja hapa.
Waambie mkuu, hao wanajiua upinzani ni Chadema.Jenga madaraja, barabara za lami, fly over n.k
Lakini maisha ya wananchi yakiwa hovyo hakuna atakae kuelewa
Na upinzani cyo CHADEMA kama mnavyozani bali ni vijana walionyimwa ajira miaka takribani 5, bila kusahau waliobomolewa nyumba kwa masifa ya mfalme juha,waliokejeliwa kule kagera
Endeleeni kujidanganya tu kuwa mnapendwa ilihali mnawaaminishi watu uwongo wenu na kutumia polisisiemu
Anual increment iko wapi?
1.5 Trillion ziko wapi??
Ajira ziko wapi kwa graduates?
Hiyo annual increment nimuombe Mungu pia?Kama huja ajiriwa muombe Mungu tu usilaum serekal Kwan uo utakua ni ujinga
Kwa hiyo vijana ambao hawaja ajiriwa ni wajinga?Kama huja ajiriwa muombe Mungu tu usilaum serekal Kwan uo utakua ni ujinga