Embu nipeni japo sifa chache za kabila la wajaluo hasa kwa upande wa wanaume?

masho

Member
Joined
Apr 9, 2010
Posts
56
Reaction score
2
:hug:JAMANI NAOMBENI KWA WANAOJUA BAADHI YA SIFA ZA KABILA LA WAJALUO MNISAIDIE JAMANI MANA NATAMANI KUWAFAHAMU SANA HAWA WATU HASA WANAUME?
ASANTENI SANA
 
Sifa yao kubwa ni kwamba hawataahiriwi

Sifa ya pili ni pride,wana majivuno kweli kweli

Sifa ya tatu ni kurithi wajane wa ndugu zao

 
Subiri kipigo cha mbwa mwizi..................
 
Hawa Jaluos watu wa kenya humu wapo kweli...mhhhh
 
Sifa yao kubwa ni kwamba hawataahiriwi

Sifa ya pili ni pride,wana majivuno kweli kweli

Sifa ya tatu ni kurithi wajane wa ndugu zao


Haha mwana unaua kishenzi...ila duh you made my day.hahah..kwa vile mi mmoja wao basi inabidi nikae pembeni nickilizie maoni ya watu wengine independently...otherwise kuhusu suala la kutahiriwa nadhani ilikuwa long time stuff,hii inatokea kuwa kule kwetu tuko tumepakana na wakurya ambao wana utamaduni wa kutahiriwa vile kienyeji na wajaluo hawana huu utamaduni,hivyo kuna wengine wanatokea hawatahiriwi kabisa kwa uzembe lakini ckuhizi watu wanatahiriwa hospitalini kwahiyo ishu ya wajaluo traditionally hawatahiri don't count anymore since it's more of a personal issue and it's not an offence once one decide to take off that skin lol..otherwise kwa shem wangu juu thumbs up you got the man..just take the time to know him well before total commitment since it's very important for your happiness!..
 
Pia Jaluo wa kiume lazima awe na alama/Kovu kubwa ya/la Panga usoni au Kichwani...:fencing: Kama hana alama/Kovu ...basi hajakulia Tarime...:fencing:
 
mmmh! nashukuru kwa mawazo na ushauri wenu, ila bado sijawa na maamuzi ni ahirishe au ?
 
1. wanaume wa kijaka(wajaluo) hawakati magovi
2. wanawake wao wanapenda kuchapika nje ya ndoa!
3.ujaluoni mjomba anaweza kula mpwa(binti) yake and vice versa!
4.wanapenda sana makande!
5.hawa watu popote pale walipo hupenda kuongea kijaka(kijaluo) i.e lugha yao!
 
Pia Jaluo wa kiume lazima awe na alama/Kovu kubwa ya/la Panga usoni au Kichwani...:fencing: Kama hana alama/Kovu ...basi hajakulia Tarime...:fencing:
Tarime ni wakurya mzee, wajaka wapo wachache sana!
 
mmmh pape hapo pa kupenda kuongea lugha yao napakubali kabisa???
 
endeleeni. nahitaji kuwajua hawa viumbe aisee!. mia
 
Hawa watu ni wacheshi sana nakumbuka kipindi nasoma o'level kuna walimu kama wawili wajaluo ilikuwa ikiwa vipindi vyao yani ww jiandae kucheka alaf wakibadilika huwa wakali kama chui.
 
Mtu akitaja kabila tu baaaasi amenivunja morali yote all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…