Embu tujikumbushe kiswahili cha mtaani cha zamani

Embu tujikumbushe kiswahili cha mtaani cha zamani

Kuna misemo mingine ni yaki old school lakini bado inabamba mpaka leo
mnoko, kabumbu, njagu
 
Hii misemo/maneno yanategemea na eneo ulilokuwa ukiishi. Mfano, Tabora na Dar sidhani kama kiswahili cha mtaani kilifanana
 
Back
Top Bottom