Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kurumbembe hili lisanii
Damu ya mtu hunuka!
Pesa tamu
Kinachonichekesha zaidi analia na microphones mikononi
Maisha haya, nikikumbuka malumbano ya gwaji na bashite halafu leo gwaji mnec halafu bashite sijui hata ana nafasi ganiMange na gwajima walimshika pabaya.
Alitumiwa popobawa likamfumua mikunjo
Na akirudi tunajua sababuHuyu jamaa anarudi kwa Kasi mjiandae kigogo kasema na Kuna jamaa humu pia alisema Kuna 90% chance ya kurudi.