Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
duh haya kwa hiyo unaona wivu?
duh haya kwa hiyo unaona wivu?
Fact, ndo hivyo ndugu yangu.... watu wengi wapo humu kimapenzi zaidi ya kielimu.... alafu ndo wanatujazia server zetu kwa thread za ajabu ajabuHabari
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya wanaume kuanzisha nyuzi kwenye jukwaa hili au MMU, wakiwa tag memba wa kike kwamba wanawapenda sana. Hili limeshika kasi kubwa sana.
Inapotokea memba mpya wa kike akiwa akiwa active vinaanza tu uzi twa mfano, ANITHA: NAKUPENDA SANA, NASHINDWA KULALA ....
Inapotokea memba wa kike akaanzisha uzi mfano NIMEBANWA MKOJOhahah nakuhakikishia huo uzi utaenda mpaka kurasa ya 50. Mwanaume anzisha uzi nataka kununua kiwanja duh unaweza ukamaliza mwaka usipate mrejesho
Wengine wakiona new uzi wa kwanza kukoment kabla hajasoma
NIISHIE HAPO
Habari

ha haha ngoja nianzishe nitakuitaHebu anzisha thread ya kubanwa na mkojo tuone itafika page ngapi.
kwa hiyo unauhisi wivu?Wivu hauna macho
ha haha ngoja nianzishe nitakuita
sawa rafikiSawa, ngoja nitengeneze ID zingine kama 20 hivi za kuchangia huo uzi ili page zikimbie haraka.
kwa hiyo unauhisi wivu?
Kizazi cha uzinzi mkuu
ha hahahhahaNi hisi wivu kwa avatar za kupakua kwenye mtandao