Embu tuseme ukweli kuhusu Manchester utd

Mimi sio shabiki wa Man U mkuu hapa tunazungumzia Man U
Man utd wako nafasi ya sita kwenye EPL point sita tu nyuma ya leaders ambao jea sasa ni Asrsenal na point 5 nyuna ya man cuty kipenzi chenu. Eajati huo half of the team ni majeruhi. Nfiyo maana nikajwambia wewe siyo mpenzi wa mpira. Ni kati ya wale kasuku ambao wabarudia kila wanachisikia bila kuelewa maana yake.
 
Kwa bayern !?...Huyu ambaye hajawahi kufungwa makundi miaka kibao nyuma..

Wale wawili labda watoke draw ila mmoja akishinda hata man utd ashinde katoka
It won't be the end of the world. You live to fight another day. Arsenal walikaa misimu sura bila champion league let alone kufika group stage. Utawaambiaje hao? Au wewe umeanza kufyatilia football juzi? Wewe ni mmoja wa kasuku wa bongo ambso wanapayuka tu kama machizi. Arsenal unsyoishabikia imeshonda UCL mara ngapi.

It's better to keep your mouth shut and appear stupid than open it and remove all doubt
Mark Twain.
 
Man utd wako nafasi ya sita kwenye EPL point sita tu nyuma ya leaders ambao jea sasa ni Asrsenal na point 5 nyuna ya man cuty kipenzi chenu. Eajati huo half of the team ni majeruhi. Nfiyo maana nikajwambia wewe siyo mpenzi wa mpira. Ni kati ya wale kasuku ambao wabarudia kila wanachisikia bila kuelewa maana yake.
Hayo unasema wewe mkuu
 
It won't be the end of the world. You live to fight another day. Arsenal walikaa misimu sura bila champion league let alone kufika group stage. Utawaambiaje hao? Au wewe umeanza kufyatilia football juzi? Wewe ni mmoja wa kasuku wa bongo ambso wanapayuka tu kama machizi. Arsenal unsyoishabikia imeshonda UCL mara ngapi.

It's better to keep your mouth shut and appear stupid than open it and remove all doubt
Mark Twain.
Ona ulivyokuwa mjinga na ushabiki wa kijinga ..Sasa panic za nn kama mjinga fulani?

Dogo sipend dharau na kingereza chako cha ugoko ,tena usirudie huu ujinga labda ukiwa na wajinga wenzio huko kijijini kwenu.!

Panic za nini kiazi wewe kwani timu ya Man utd anamiliki baba ako!?

Unaambiwa ukweli mtoto wa juzi bado una akili za ushabiki maandazi ,pita kushoto ni wale line mbili.
 
Back
Top Bottom