DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Aongezewe kuku ili akiwa studio akumbuke kuku aliokula
Hamna cha madili wala nini. Ngozi nyeusi mnapenda kudanganyana. Mkiambiwa ukweli mnasema mtu ana chukiUsikute unafunga na kuomba kabisa hayo madili yasifanikiwe.
Ngozi nyeusi tunaombeana njaa sana.
Nikikumbuka alitudanganya simba hatutafuzuAongezewe kuku ili akiwa studio akumbuke kuku aliokula
Kuna watu wakishajivua nguo hautakiwi tena kupoteza muda wako kuwasikiliza.Nikikumbuka alitudanganya simba hatutafuzu
yule dogo tapeli kbsaKuna watu wakishajivua nguo hautakiwi tena kupoteza muda wako kuwasikiliza.
Hii kweli kaka.Hamna cha madili wala nini. Ngozi nyeusi mnapenda kudanganyana. Mkiambiwa ukweli mnasema mtu ana chuki
Wachambuzi wengi wa TZ ni WA mchongo.Kuna watu wakishajivua nguo hautakiwi tena kupoteza muda wako kuwasikiliza.
Zote hizo habari za Marseille ni habari za mchongo. Ni jitihada tu za kumbrand mchezaji, kiongozi na klabu kwa njia za janja janja, hakuna kingine zaidi ya hapo.Hii kweli kaka.
Mzize alitakiwa na Marseille ya ufarance , rais wake akataka 1 USD.
Ni kitu Cha ajabu sana mimi nilishangaa , uwezi kuuza mchezaji kutoka TZ kwa gharama hizo wakati yanga wenyewe hawajawahi kutoka mchezaji kwenda ulaya.
Hata vitabu vingine hakuna.
Nilishangaa sana
Em toa uwaki wako hapa, Marseille ya ufaransa ya Tandale labda, sio ya ulaya, mxxxieeeeewHii kweli kaka.
Mzize alitakiwa na Marseille ya ufarance , rais wake akataka 1 USD.
Ni kitu Cha ajabu sana mimi nilishangaa , uwezi kuuza mchezaji kutoka TZ kwa gharama hizo wakati yanga wenyewe hawajawahi kutoka mchezaji kwenda ulaya.
Hata vitabu vingine hakuna.
Nilishangaa sana
Ya Marseille ni kweli.Zote hizo habari za Marseille ni habari za mchongo. Ni jitihada tu za kumbrand mchezaji, kiongozi na klabu kwa njia za janja janja, hakuna kingine zaidi ya hapo.
Em kwenda huko, hata aziz ki mwenyewe ilikua ya uongo kutakiwa mamelodi, yanga kwa fix hawajambo.Ya Marseille ni kweli.
Pia kulikuwa na Casablanca wao ni USD 500,000.
Pamoja na kaizer cheaf, sijajua ngapi.
Thubutuuu, ππππHio ya Marseille sio Leo ni 2 years ago. Sio sasa.
Haaaaa.Em toa uwaki wako hapa, Marseille ya ufaransa ya Tandale labda, sio ya ulaya, mxxxieeeeew
Kwa Wydad, Mzize alikuwa ni kifungashio tu cha dili la Aziz Ki kilichoingizwa na Yanga wenyewe ila Yanga haikuwa na dhamira ya kweli kumuuza Aziz Ki kutokana na sababu nilizozisema katika uzi mmoja wiki kadhaa huko nyuma. Vipengele vya Yanga kwa mauzo ya Aziz Ki vilikuwa havitekelezeki.Ya Marseille ni kweli.
Pia kulikuwa na Casablanca wao ni USD 500,000.
Pamoja na kaizer cheaf, sijajua ngapi.