Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Azizi k hajawahi kuomba na mamelodi hayo ni maneno ya wachambuzi wa mchongo wa TZ kwa umri wa azizi k wa sasa sio rahisi kuchukuliwa na club kubwa , ni ngumu miaka 29 ni mkubwa sana.Em kwenda huko, hata aziz ki mwenyewe ilikua ya uongo kutakiwa mamelodi, yanga kwa fix hawajambo.
Tutolee uwaki wako hapaa.
Hamna bwana, tupumzishe. Kwanza asingepass test ya umri.Hio ya Marseille sio Leo ni 2 years ago. Sio sasa.
Huu uongo wako tafuta kwa kuupeleka, sio hapa..Haaaaa.
Sio Leo ni 2 years ago. Kwa sasa sidhani kama wanamtaka Tena maana vilabu vingi vya ulanya wanapenda kuchukua wachezaji kutoka nje ya ulaya wakiwa umri wa miaka 16 mpk 19 .
Ukivuka hapo ni ngumu kukuchukua.
Pia Casablanca nao walimtaka
Na kaizer Chief,
Shida ni viongozi wao kupenda pesa nyingi.
Nafikili utakuwa Simba wewe?Huu uongo wako tafuta kwa kuupeleka, sio hapa..
Hatutakiiiii. 😂😂😂😂😂
Hakuna wivu, tunaongea ukweli.Azizi k hajawahi kuomba na mamelodi hayo ni maneno ya wachambuzi wa mchongo wa TZ kwa umri wa azizi k wa sasa sio rahisi kuchukuliwa na club kubwa , ni ngumu miaka 29 ni mkubwa sana.
Acheni wivu sometimes
Uongooo.Nafikili utakuwa Simba wewe?
That is reality ukigoma ndo hivyo
Ulaya wanachukua wachezaji wengi kuanzia umri 16 , 17 mpk 18 wakichelewa sana 19 japo sio kivile.Hamna bwana, tupumzishe. Kwanza asingepass test ya umri.
Acha wivuUongooo.
Acha wivuHakuna wivu, tunaongea ukweli.
Mayele ndo ilikua kweli, na akaondoka zake huko pyramids.
Hawa wengine ni fix, 😂😂😂😂😂
Uongoo, 😂😂😂😂Acha wivu
Ukitaka kujua hilo suala ni uongo wa mchana kweupe, mmetafuta timu kubwa na inayojulikana ili iwe rahisi kuuza uongo wenu.Azizi k hajawahi kuomba na mamelodi hayo ni maneno ya wachambuzi wa mchongo wa TZ kwa umri wa azizi k wa sasa sio rahisi kuchukuliwa na club kubwa , ni ngumu miaka 29 ni mkubwa sana.
Acheni wivu sometimes
Acha wivu 😁😁😁😁😁🤣🤣🤣Uongoo, 😂😂😂😂
Sasa mbona unaanza kukubaliana na mimi kijanja? Ulianza na ishu ya ofa iliyotolewa, umerudi kwenye umri.Ulaya wanachukua wachezaji wengi kuanzia umri 16 , 17 mpk 18 wakichelewa sana 19 japo sio kivile.
Hao waliotoka nje ya bara la Africa mbali na hapo mmmh ni ngumu , kwa umri wa mzize wa sasa hio kwa kheli.
Afu timu za ulaya wanapenda kuchukua wachezaji waliotoka kwenye academy.
Jiulize kwa Nini wanigeria , Ivory coast, Ghana, Senegal wapo ulaya wengi.
Coz ya academy wanazo kule.
Mimi sio Simba fan Wala yanga fan.Ukitaka kujua hilo suala ni uongo wa mchana kweupe, mmetafuta timu kubwa na inayojulikana ili iwe rahisi kuuza uongo wenu.
Halafu hapa unakanusha Aziz Ki kutakiwa wakati kocha Mokwena alionyesha mahaba ya wazi kwake hadi yule mganga wenu akataka kumpiga bishoo wa watu.
Hii inaonyesha unajaribu kuset agenda unayotakqla wewe ambayo ni kinyume cha uhalisia.
Unaelewa ninachoandika?Sasa mbona unaanza kukubaliana na mimi kijanja? Ulianza na ishu ya ofa iliyotolewa, umerudi kwenye umri.
Hamna chochote cha maana unachosema, unatujaza tu. Ukweli ni huo niliosema na wewe umekuja kukubaliana na mimi, full stop.Unaelewa ninachoandika?
Punguza hasira.
Rudia mwazo kwanza.
Mimi sijasema wala kuitaja Mamelodi, nimesema Kocha Mokwena.Mimi sio Simba fan Wala yanga fan.
Hakuna taarifa yoyote kuwa mamelodi walimtaka. Ni wachambuzi wa mchongo tuu
🤣🤣🤣🤣🤣.
Uganga wa mpira wote upo Simba wanao na vyura wanao pia.
Tofauti na wazungu tuu , wao football wamechukulia ni professional
Wala sijakubaliana na wewe. Rudi mwanzoni kasema upya.Hamna chochote cha maana unachosema, unatujaza tu. Ukweli ni huo niliosema na wewe umekuja kukubaliana na mimi, full stop.