Embu tusidanganyane Mzize, Feisal Ulaya wataisikia tu

Wala sijakubaliana na wewe. Rudi mwanzoni kasema upya.

Kwa umri wa sasa hawawezi chukuliwa na timu yoyote ulaya.

Ishu ya mzize ni years ago sio sasa. Umri ushaenda yule
Sasa unakataa nini wakati kauli yako hii hii iliyofuata inakubaliana na nilichosema? Halafu unaniambia nikasome mwanzoni, wewe umesoma mwishoni?
 
Tatizo lenu hamtaki upinzani , ndo shida yenu.

Sema ndo hivyo mmekuta club nyingi Tanzania hapa hazina pesa.
Na kabla nyingi Zina shida kwenye uongozi hasa yanga na Azam fc, japo nazo zinaonekana ndo washindani wakubwa Japo na Simba nayo kiasi chake, kazi ushirikina tuu.
 
Simba na yanga zinakaribia miaka 100 sasa , team hazina viwanja , hazina academy, Top players wao ni wa nje kazi kushawishi wachezaji wabadili uraia.
Shame on them na mashabiki wao kazi kutoka team zao zisifungwe

Umeshatoka kwenye mada sasa unatupeleka kwingine
 
Wewe kama sio mama wa kambo unabii wangu ni fake
 
Hizi habari kuwa Clement Mzize na Feisal Salum wanahitajika au wanaweza kuuzwa Ulaya sijui zinatoka wapi.
Mimi ndio nasikia kwako. Hizi habari chanzo chake ni kipi? Labda media iliyopublish hizi habari
 
Nikikumbuka alitudanganya simba hatutafuzu
Wakati mwingine huwa naamini maneno ya Rage kuwa mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu. Sasa huyu mchambuzi anakudanganyaje hamtafuzu kwa maandishi yake tu kwenye social media?

Yan ulifikiaje kudanganyika kuwa hamtafuzu huyo mtu hayupo kwenye timu yako, sio afisa wala mtendaji achilia mbali hayuko kwenye benchi. Anasema hamtofuzu wewe unasema amewadanganya? 🀣🀣🀣
 
 
Hamna cha madili wala nini. Ngozi nyeusi mnapenda kudanganyana. Mkiambiwa ukweli mnasema mtu ana chuki
Kweli kabisa, black skin hatutaki kuambiwa ukweli, hata sisi uto wa maskani Buza Mpalanger tunapowaambia makolo tayari wametema bungo shirikisho kwa kupangwa fainali na Berkane mlima mrefu wanashupaza mishipa ya shingo , hawakubali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…