Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi

Ofisi za Bang zilikuwa pale karibu Clouds Mikocheni njia ya kutoka Mikocheni kwenda Mwenge,nasikia hiyo nyumba ilipigwa mnada kutokana na hiyo kesi na ilikuwa ni nyumba ya familia ya mwenye gazeti.
Hii mbaya.
 
Anakumind kwann una gari halafu unamuomba hela.
 
Jack mtupu kichwani. Hata ukitazama the way anafanya mambo yake kwasasa, inaonyesha tu kuwa huwa hajui jipanga na hayupo smart na maamuzi yake.
 
Fala sana yule. Yaani kakaa, kawaza na kuwazua akaona the best idea ni kuwa fundi seremala......
 
Now analipa lawyers kumtetea kesi ambayo anajua hatashinda kama ukweli ukiwekwa mezani na anaweza loose custody ya watoto kwa familia ya mengi.
 
Miaka 70+si kidogo ati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…