Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi

Kuna mmoja ni mkurugenzi wa shule direct, yule nae huwa naona yuko busy sana na hiyo organisation yake.
 
Shoga mbona ile crew ya jacky sijawaona wakiwa karibu nae kwenye msiba, Au ndo tukutane batani shida kaa nazo mwenyewe Au ndo na wenyewe wanaogopa camera, maana mimemuona faraja tu
Walikuwepo, mi niliwaona wawili na waume zao ila walikuwa benet sana na Mr zao.
 
Wote wadangaji tu, huyu naye si walisema mwimbaji wa aliyekuja toka US of A aliburuza?!...Hawana maana hata kidogo..
 
Asante, nimerudi kwenye dictionary na kuona kwamba uko sahihi.

Nisamehe kwa kukukosoa wakati ulikuwa sahihi.

Nimejifunza pia kupitia kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Don usiwe unakurupuka.
 
Nimekoma aisee.
 
Reactions: amu
Mengi alikua anamwogopa mkewe wa kwanza...alivyokufa tu wakaanza kujiachia
 
Reactions: amu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Don usiwe unakurupuka.

Lol, we learn from each other , ain't perfect either
 
Kabisa jamani. Hata watoto wa Mke mkubwa wana haki ya kuwa bitter naye. Inawezekana mambo ya mtandaoni si kweli lakini ile fact tu ya kumsafirishansafirisha wakati ni mgonjwa was wrong very wrong!
 
Warumi inabidi na ww uwe na magazine yako maana.. Unajua ku narrate hata msomaji una enjoy kusoma
 
Pole wee... Ukiona hivyo ana kijiba cha roho kaa nae kimachale huyo
 
Huyo marehemu alikua anaogopa kwamba swala la aliemuoa kuitwa mchimba dhahabu "golddigger" lingeibuka na swala la msingi la yeye kuoa wakati ndoa ilikuwepo bila kusahau kipengele cha mke wake mpya kua darasa la saba na kutokua na background inayoeleweka...etx
 
Kwan Jack ni std 7?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…