Emergency!! Nahitaji daktari wa watoto kwa Dar

Emergency!! Nahitaji daktari wa watoto kwa Dar

SENGATI

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
127
Reaction score
26
Mtoto wangu alichomwaga sindando ya quinin mwezi january bt imemletea maumivu ya mguu na baadae akawa hawezi kukanyaga chini kisigino kinamuuma... yuko dar kwa ajili ya easter tu.. naomba msaada wa daktari wa magonjwa ya watoto

Namba yangu ni 0714409843
 
Mkuu kuna kinondoni dispensary hiko mitaa ya kituo cha biafra kama umepanda gari zinazoelekea moroco basi shuka hapo hapo ulizia kinondoni dispensary then ukifika hapo ulizia Dk Anthony..
 
Hapana unaweza kuenda kariakoo ulizia dr.hameer au docta koya hawa wajamaa ni mahodari sana kwa watoto
 
Asante kwa maelekezo mazuri mkuu GeONJC
 
Mkuu kama alivyo sema mchangiaji alie pita dr koya yuko kariakoo mtaa wa mafia na Livingstone au dr hameer yuko maeneo ya faya mtaa wa faru na swahili
 
Hata mtoto wangu alipata hilo tatizo, alichoma sindano hiyo hiyo ya quinin, ni pm nikueleze kilichomponyesha
 
Hapana unaweza kuenda kariakoo ulizia dr.hameer au docta koya hawa wajamaa ni mahodari sana kwa watoto

Mtoa uzi chukua huu ushauri huyu hameer wa pale faya yuko poa sana atakusaidia. Koya pia yuko poa japo binafsi nimkosa huyu hameer ndo nitamtafuta koya
 
Mtoto wangu alichomwaga sindando ya quinin mwezi january bt imemletea maumivu ya mguu na baadae akawa hawezi kukanyaga chini kisigino kinamuuma... yuko dar kwa ajili ya easter tu.. naomba msaada wa daktari wa magonjwa ya watoto

Namba yangu ni 0714409843
Nenda dispensary ya watoto inaitwa KAJA ipo Kinondoni mbele ya vijana kama unaelekea Mwananyamala... Kuna madaktari kadhaa wa watoto hapo.
 
Back
Top Bottom