Hapana unaweza kuenda kariakoo ulizia dr.hameer au docta koya hawa wajamaa ni mahodari sana kwa watoto
Nenda dispensary ya watoto inaitwa KAJA ipo Kinondoni mbele ya vijana kama unaelekea Mwananyamala... Kuna madaktari kadhaa wa watoto hapo.Mtoto wangu alichomwaga sindando ya quinin mwezi january bt imemletea maumivu ya mguu na baadae akawa hawezi kukanyaga chini kisigino kinamuuma... yuko dar kwa ajili ya easter tu.. naomba msaada wa daktari wa magonjwa ya watoto
Namba yangu ni 0714409843