sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nipo naskiliza Mocking Bird, kabla ya hapo nilikuwa naskiliza "Cleanin Out My Closet"Nasikiliza ngoma yake moja inaitwa Zeus hapa
Cleaning out my closet ni songi kali ila flow ya eminem sio kaliNipo naskiliza Mocking Bird, kabla ya hapo nilikuwa naskiliza "Cleanin Out My Closet"
Mocking bird naikubali sanaNipo naskiliza Mocking Bird, kabla ya hapo nilikuwa naskiliza "Cleanin Out My Closet"
Best selling rapper to dateSio kwamba Eminem anajiona ni rapa bora sana, HAPANA. Ukweli ni kwamba Eminem ni mwanahip hop/rapa bora kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.
Sio kwamba yeye anahisi hivyo, bali ndivyo ilivyo