Nina rafiki yangu wa toka utotoni anaitwa Sifa. Huyu Sifa mwaka 2002 when he was 17 alimpa mimba classmate ( Form 4 ) wake, mwaka 2003 akajifungua mtoto wa kiume.
Sifa akampa mtoto wake jina " Eminem" . So Eminem Sifa.
Eminem Sifa anawatakia Watanzania wote ushindi mnono dhidi ya Leicester City.
# Ushindi wa Aston Villa NI Ushindi wa Samatta na Ushindi wa Samatta NI Ushindi wa Tanzania nzima.
# Halla Aston Villa
# Halla Mbwana Samatta