Habibii welcome to DubaiNilipita Dubai kwa connection tu, ngoja nipapangie kalikizo ka wiki Moja, nadhani Milioni kumi itabaki na change, return ticket 1.5m accomodations maximum 200k x 7 = 1.4m, kula approx 100k x 7 = 700k, starehe na Bata jingine 200k x 7= 1.4m. shopping ndogondogo 4m. Change Milioni moja
Wangekuwa hawana akili wasingeweza kuwa na maendeleo makubwa vile jangwaniUarabuni pesa ipo. Akili ndo mzozo
Siyo sehemu zote ni sehemu maalum kwa ajili ya utalii tu acha kudanganya watuPipa la wamanga wa Dubai, open minded wanaruhusu pombe hata mbuzi katoliki
Uliza swaliUmewahi kusafiri na ndege kwanza.
Tuanzie hapo
Si swali hilo,hujajibu unataka niulize nini?Uliza swali
Zanzibar inatua lini?Dar-Dubai-Melbourne
PipaaaDar-Dubai-Melbourne