Emirates yashindwa kuruka

Emirates yashindwa kuruka

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wanandugu habari zilizotufikia hivi punde ndege ya EMIRATES iliokuwa iondoke tangu saakuminamoja Imeshindwa kuruka kisa kukosa tool bar ya kusukumia ndege...habari zaidi zinasema kawaida huwa emirates wakibadilisha aina ya ndege huwa wanakuja na toolbar yao..ambayo huwa inaunganishwa mbele ya lile gari la kusukumia ndege....hvi sasa wanasubiri swissair ambayo huja na toolbar yao.......waweze kusukumwa na kuondoka..abiria wote wako lounge wanakula na kusaza hii ni pongezi kwa emirates groundstaff kwa kujali abiria....poleni sana ila engineer anaitajika kuadabishwa kwa hili saababu unapobadilisha equipment ya ndege lazima uwe na toolbar kwenye ndege .....anyway kila la kheri nawapa pole....sana
 
kazi ipo.....unajua ikitokea techn prbl ama tatizo lolote ukiweza wahndle wale washikaji (pax) fresh wala akuna atakaesumbua...unabaki wa na ma engineer wako...kwa hili la pax big up or them..maana kuna abiria wangu kanipigia anavyofurahi huko lounge utasema ndege imesharuka yuko angani....
 
ahhh lakini mie napenda jinsi yule binti anavyozungumza mle...ala hadhatul minadhat ...blah blah

ahhh EK kwa manjonjo tuu hawanamfano
 
ahhh lakini mie napenda jinsi yule binti anavyozungumza mle...ala hadhatul minadhat ...blah blah



abdulahim upo???
 
taarifa latest ni kuwa kuna kuku wanapekwa airport from kwa BARAFAA

kazi kweli kweli
 
wanapekwa airport from kwa BARAFAA

tunawaomba wasijekuwa wamechinjwa na ""YO YO YO""
 
Yaani aibu kwa hiyo inayoitwa Internationa Airport ,kule Zenji tunayo International Airport hata mapilot wanaipenda eti huwa wanapata uzoefu wa kukwepa mashimo na ikianza kuingia kiza mbu mpa ndani ya bdege vizuri ni kuwa hawana viluilui vya maleria ,maleria tunaambukizwa na jamii ya watu wanaotoka Tanganyika hufika zenji wakiwa ni carriers ,hata marazi ya mabusha wameleta wao. Au uongo ?
 
GT,

Ndugu yangu hapa unaheshimika sana!

Zenj ni uwanja wa Kimataifa na Kitalii..sii sawa na dom!

Dom JK angehamia mda mrefu..uwanja ungekuwa Mswano!

sasa sijui kwa nini serikali haitaki kuhamia huko!
 
Hai Emirates ni wazembe sana .Kwani hakuna man power ?Wachukue vibarua hapo wana njaa sana wataweza kusukuma ndege irudi nyuma wawape mshiko wao na ndege iende zake ama hilo nalo ni gumu ?
 
ahhh lakini mie napenda jinsi yule binti anavyozungumza mle...ala hadhatul minadhat ...blah blah
aarrrg hao hamna kitu.....wamepigwa pasi no mvuto ukikwea pipa lao ni kusinzia tu.....
 
Vipi ndege ya Emirates imesharuka?, maana Swissair si imeshafika tayari?. Mwenye taarifa.
 
Tayari naskia ishaondoka
 
Back
Top Bottom