Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,324 Reaction score 17,846 Aug 10, 2009 #21 Kibunango said: Ukimsikiliza sana Mwiba unaweza kuchanganyikiwa Click to expand... Kabisa! Ila mi huishia kucheka tu manake post zake ni vichekesho..nimeshangaa iyo apo juu hajatia ile 'sultani CCM' lakini katafuta tu kulinganisha bara na zenji kuanzia uwanja, hadi maleria na kuishia na mabusha!
Kibunango said: Ukimsikiliza sana Mwiba unaweza kuchanganyikiwa Click to expand... Kabisa! Ila mi huishia kucheka tu manake post zake ni vichekesho..nimeshangaa iyo apo juu hajatia ile 'sultani CCM' lakini katafuta tu kulinganisha bara na zenji kuanzia uwanja, hadi maleria na kuishia na mabusha!