Huyo jamaa ni producer wa muziki ambae kazi zake alikuwa anafanyia THT ila kwa sasa sijui kama bado hajaanza kufanya kazi za kujitegemea, na huko kutajwa ni kuashiria kuwa wimbo unaoskiliza umepikwa na yeyehuyu jamaa ni nani? namsikia tu wana mtaja sana wasanii kwenye nyimbo zao, au ndo wale ma papaa wa mjini. Kama kuna anae mjua naomba atupe kapicha kidogo
Emma ze Boy ni wewe umekuja kupima upepo.....kama ni kweli unasikiliza miziki usingeuliza hilo swali.
View attachment 433055
Emmanuel Maumba a.k.a ematheboy Producer epic record (THT)