Emma Thompson Ajiingiza Kwa Nguvu Kupiga Picha Na Lupita Nyong'o (Photobomb)

Emma Thompson Ajiingiza Kwa Nguvu Kupiga Picha Na Lupita Nyong'o (Photobomb)

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Staa wa zamani Emma Thomson hakupata nafasi za kuchakuliwa kuwania tuzo lolote lakini hilo halijamzuia yeye kuonekana mara kadhaa katika awards zinazoendelea.

Ameonekana akiwa mlevi na mcheshi wakati wa Golden Globes, akirusha viatu vyake na kufanya mambo yasiyo ya kawaida.

Na usiku wa Jumamosi, staa huyu wa Saving Mr. Banks alionekana aki'photobomb' katika SAG Awards, staa wa Hollywood Lupita Nyong'o ambaye mizizi yake ni mkenya.

Cheki hio picha hapo chini.

emma-thompson-photobomb.jpg

Stori imedondoshwa kutoka bkuHABARI
 
Back
Top Bottom