Staa wa zamani Emma Thomson hakupata nafasi za kuchakuliwa kuwania tuzo lolote lakini hilo halijamzuia yeye kuonekana mara kadhaa katika awards zinazoendelea.
Ameonekana akiwa mlevi na mcheshi wakati wa Golden Globes, akirusha viatu vyake na kufanya mambo yasiyo ya kawaida.
Na usiku wa Jumamosi, staa huyu wa Saving Mr. Banks alionekana aki'photobomb' katika SAG Awards, staa wa Hollywood Lupita Nyong'o ambaye mizizi yake ni mkenya.