Emmanuel Amunike anaweza kuwa kocha atakayeiharibu Taifa Stars kuliko wote

Emmanuel Amunike anaweza kuwa kocha atakayeiharibu Taifa Stars kuliko wote

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Time will tell. Huyu jamaa sijui TFF imemuokota wapi. Sioni kama Taifa stars itafanya vizuri chini ya huyu kocha. Ameshawatenga wachezaji. Ana chuki na inaonekana haufaham mpira wa tanzania.


Nasema tena time will tell. Ameanza na mguu mbaya mwisho wake ni nadra sana kuwa mwema.
 
Acha majungu na uswahili wenu. Nyie ndiyo msiyoweza na vichwa vyenu vibovu
 
Samahani, naomba kuuliza kabla ya kuja bongo alikuwa akifundisha timu gani?
 
Mkubwa wewe una vision ya trump KABISAAA, amunike ni mtu anaejifanya hayumbishwi utazani taifa stars ni Belgium kwamba unaweza ukatoa first eleven wote ukaingiza wengine wenye ubora uleule, hapa ndo anapokosea timu ya taifa mnakula wali kwanini msifungwe
 
Huyu ni hamna kitu kabisa. Nashindwa kuelewa anawazidi nini wazawa wa hapa kama Julio, Kibaden nk

Km ni kuchukua kocha mgeni, basi Kim Poulsen au Hans Van Pldjm wa Azam wangetufaa sana. Wanaunua vizur mpira wa Tanzania
 
Suala la nidhamu kwa wachezaji ni la msingi sana.....Hakuna Kocha anayevumilia mchezaji mwenye nidhamu mbovu!!!.....

Wachezaji wetu wapo kwenye timu ya taifa kwa mazoea ya kuwepo kwenye timu lakini sio kwenye timu ya taifa!!!.....

Watanzania tuache unafiki na tuuseme ukweli!!...

Msingi wa kwanza wa mchezaji bora ni nidhamu!!!!....
Ndio kitu ambacho wachezaji wetu wamekikosa......

Tutaishia kulalamika hata kocha aje Pep Guardiola!!!
 
nilishangaa baada ya mechi ya Taifa stars na Uganda wakati ligi inaendelea yeye akarudi Hispania kuangalia familia yake badala ya kufatilia wachezaji wa ligi kuu sasa sijui wachezaji wa ndani anawateuaje
 
Back
Top Bottom