Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,404
Kwa habari niliyoisoma asubuhi kwny gazeti la online la mirror zinaeleza situation ya sasa ya emanuel eboue kiuchumi kuwa ni mbaya sana kwani amefilisika mpk kufikia kukosa hta sehemu ya kulala na sasa amepewa hifadhi na rafiki yake hapo hapo UK! Na sasa anatumia public transport akiongea na gazeti hilo eboue amethibitisha yote hayo na kuthibitisha status yake ya kiuchumi kwa sasa kuwa ana hali mbaya sana na hii yote imetokana na kuachana na mke wake Wa kizungu na mahakama kumpa haki zote za asset walizokuwa wakimiliki ikiwemo nyumba waliokuwa wakiishi .....pia eboue ameomba klabu yake ya zamani kumfikiria kumpa hta kibarua cha ukocha kwa timu za vijana kwani ana hali mbaya sana kiasi kwamba alishatamani kujiua Mara kadhaa

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa kakiri Elimu Hana, wapambe nuksi na kukimbilia kuoa "mchumia tumbo". Sijawahi mwona huyo demu kucheza mpira. ...wamecheza na umbululu wa Eboue kumfilisi. Anahitaji kuomba msaada wa kisheria aidha kupitia PFA au Chama change mawakili huko London. Hakika arafanikiwa kupata japo nusu ya Mali na watoto wake 3.
 
Shida ya kuoa mzungu na kuishi nae nchini mwake.

Wana haki na upendeleo wa Kingese sana...!
 
hawa watu wengine ni wa wapi jamani?
hebu tutafutieni hata Watanzania
hao kina Eboue wana kwao na wakitajirika ni kwao
 
Aje bongo tule Mihogo MBONA tunaishi tu atuondoki mjini,waliokuja wataondoka kutuacha tunadunda tu,
 
Ulimbukeni wa kuoa wazungu kana kwamba huko walikotoka hakuna wanawake
 
Hivi George Best alikuwa Arsenal pia?
Habari imekaa kidaku zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…