Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi


Wanawake wote cheza nao kwa umakini,Kelis ni mweusi kama Nas lakini alichomfanyia mwenzie acha tu.

Child support karibia US $ 51K a month huyo mtoto anakula dhahabu?
 
Kabisa mkuu usipokuwa smart kulia na kusaga meno mbeleni kunakuhusu sana
 
Wanawake wote cheza nao kwa umakini,Kelis ni mweusi kama Nas lakini alichomfanyia mwenzie acha tu.

Child support karibia US $ 51K a month huyo mtoto anakula dhahabu?


Mshua upo sahihi sana...Women aisee,if they want to ruin you,they do it heavily.....These people only god knows them!
 
Hawa mwanaspoti wameitafsiri habari ya daily mail kama ilivyo..!
 
Huwezi kuta mwanamke anakoment kwenye uzi kama huu..! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu eboue naye mbona kama karogwa,Kwanza Mimi muda huu ningekuwa jela kwa kesi inayoeleweka
 
Hahahaaa.... mwenye akili za kuvukia barabara analala vibarazani saa hizi. Mkeo mwamini ili mradi uwe unatumia akili.
Haa ha ha..!! Wew mwamwini kana alivyofanya Jamaa uonee mavuno yakeee tenaa ndo wabongo umeishaa..
 
Financial IQ ni tatizo kwa waafrica wengi.
Mapenzi kupita kiasi ni matatizo kwa wengi.
Kusahau ndugu wa damu ni tatizo kwa wengi
Kusahau kuwekeza pazuri ni tatizo kwa wengi.

Dawa ni hii

 

huyu ni mchezaji wa ivory cost aliyekuwa anakipiga kunako klabu ya arsenal na galatasary
mahakama iliamru aliye kuwa mke wake aurilie mwenye asili ya ubeligiji achukue kila kitu cha mchezaji huyo, inasemekana jamaa alikuwa amesaini mali zake nyingi kwa jina la huyo ex wife wake ilifikia kipindi jamaa akawa hana ela tena hata ya kuwalipa maloya
 
Inasemekana eti, nyabe ndio urithi/utajiri pekee kwa wanaume wengi wa kiafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…