Emmanuel Macron akiwa na miaka 15 alikutana na Brigittie akiwa na miaka 44 na leo hawa ni mume na mke

Attachments

  • 1665572042967.jpeg
    4 KB · Views: 10
  • 1665572043195.jpeg
    5 KB · Views: 12
  • 1665572043426.jpeg
    8.6 KB · Views: 11
  • 1665572043592.jpeg
    6.5 KB · Views: 10
Tujadili: Huyu mtoto Emmanuel Macron (15), ndiye alikuwa hana adabu na hakuwa na maadili kiasi cha kuanzisha mapenzi na mtu mzima (Brigittie 40) kama mama yake na mbaya zaidi alikuwa mwalimu wake! Au ni huyu mama mtu mzima na mwalimu ndiyo alikuwa hana maadili kabisa kiasi cha kukubaliana na mtoto na mwanafunzi wake kuwa wapenzi? Sijui sheria za Ufaransa, je kwa umri huo siyo kosa la jinai? na jinai huwa haizeeki wala kupitwa na wakati!!
 
Nimeshangaa sana, kumbe huko ulaya mtoto wa miaka 15 inahesabika kuwa ni mtu mzima kufanya mambo yale! Kwa hiyo Briggitie hakuwa na hatia!! Yaani chini ya miaka 15 ndiyo kosa, akifikisha miaka 15 ruhusa!!
The French parliament has adopted legislation that characterises sex with a child under the age of 15 as rape and punishable by up to 20 years in jail, bringing its penal code closer in line with many other western nations.
 
Ila huyu bibi anbefungwa tu, mtoto wa miaka 15 ni kumrubuni

Aya huyo ni Mary Kay Letourneau na mme wake (Vili Fualaau) . Huyo mme wake alikuwa ni mwanafunzi wa Mary, Mary alifungwa jela kwa kosa la kutembea na mwanafunzi wake (Vili Fualaau). Kifungo kilipoisha akarudiana na huyo mwanafunzi wake wakaoana kabisa.
Kwaiyo mda mwingine kuzuia fate za watu sio rahis.

NB: siungi mkono hizo tabia
 
Mbona hesabu zinakataa?
 
mahusiano yao hayajulikan yalianza lin , wenzetu wanaheshimu hisia za watu kikubwa haijathibishwa kutembea na mtu chini ya miaka 18
 
Tunaruka mno,kupenda kupo jaman ...age is just a number.Ila kama ni mwanangu wapendane huko asije hata kunitambulisha
Bongo na mbele tofauti.
44 ya mwanamke wa bongo tena mwalimu kama huyo mama utakuta kashachoka sana kachakaa kwa maisha yan na uzee ulee plus menopause around the corner.
Kwakifupi kibongo bongo not possible maana at 15 mtoto yuko form 2 huyo
 
Dah...... kihisabati
44 + y = 69, then y = 15
15 + y = 44, then y = 29.
Hence Macron aging speed is almost twice compared to his wife since they met.
69 + y = 44 +2y,
* y = 15
Therefore
69 + 15 = 84.
Hence both will reach the age of 84yrs together. Na kutokea hapa Macron ataanza kuwa mkubwa zaidi ya mkewe
ie Macron akiwa na 90yrs mkewe atakuwa 87yrs....
Note: Calculations based on number of years mentioned in the post 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…