Emmanuel Mwakyembe ni bonge la Boxer

Emmanuel Mwakyembe ni bonge la Boxer

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
bondiaa.jpg


Jamaa namkubali sana, anapigana sana, ana punch nzuri, ana nguvu pia ana pumzi nzuri.
 
Bwa mdogo saidi bwanga ni mchezo wake wa kwanza ila anacheza vizuri as if ana uzoefu wa kutosha.
 
Habari bila picha/video clip dunia y ss sawa na takataka tu
 
Anafanana na [mention]Kelsea [/mention]


Nyanyanyanyaaa[emoji28][emoji28]
 
Jamaa namkubali sana .anapigana sana
Ana punch nzuri ana nguvu ana pumzi nzuri
Wanyakyusa hatujawahi toa mbegu ya ovyo,sisi ni talented sana sema tu huwa hatupendi show off km Alikiba.[emoji109][emoji109][emoji12][emoji12]
 
Azam wamejitahidi sana kuhamasisha mchezo wa masumbwi...

Bongo tuna historia nzuri ya kutoa wanamichezo bora kwenye ndondi...

Miaka ya 2010-2015 hapo kulikuwa pia na bondia akiitwa Benson Mwakyembe, sijui kama wana undugu na huyu au lah...
 
Back
Top Bottom