Wanyakyusa hatujawahi toa mbegu ya ovyo,sisi ni talented sana sema tu huwa hatupendi show off km Alikiba.[emoji109][emoji109][emoji12][emoji12]Jamaa namkubali sana .anapigana sana
Ana punch nzuri ana nguvu ana pumzi nzuri
Sasa umejuaje kama mwanaume mwenzio ana pumzi nzuri kama hakukupumulia?@niquetamere we jamaa unaliwa na wachawi usiku ??????.maana sio kwa kifikiria ujinga huu