Emmanuel Nchimbi anaenda kuwa katibu mkuu bora kabisa wa CCM

Emmanuel Nchimbi anaenda kuwa katibu mkuu bora kabisa wa CCM

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Salam kwenu.

Katika mkutano wake na makatibu matawi na kata katika wilaya ya Dodoma ameweka vipimo mathubuti kuelekea uchaguzi mkuu.

Kwa maelekezo yake thabiti dhidi ya watia nia wote tutarajie haki wakati wa mchakato na uchaguzi wenyewe.

Kuna wahuni walishaanza kutaka kupita bila kupingwa 😂😂 walitaka kutembelea upepo wa maamuzi ya kumpitisha mwenyekiti.

Nampongeza sana Katibu Mkuu kwa kuliweka hili mapema.

Pia amewakumbusha waliopo madarakani kuacha kupuuza majukumu yao kwa kisingizio maandalizi ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom